Tetere alia

Tetere alia lia ee mwanangu
Sauti kama kinanda
rafiki wa kwanza nilimpata pemba
rafiki wa pili masai wa bara

nasoro wee namtafuta
kaniibili chupa yangu ya mafuta
ya moto wee

Audio / Video

Dansk

Pic.

English

Info