||:Tanzania tunalia
tumepatwa na pengo kubwa:||
||:kwa sababu ya wadudu
wanakumba na mihogo:||
||:kwanza inyanyauka
kwa sababu ya wadudu:||
||:pamba nayo inasitahili
kuwa ni ya biashara:||
||:Tulimeni mawele
viazi nayo biashara:||
||:pamba nayo inasitahili
kuwa ni ya biashara:||