Forsang: Mwanangu Mwali mwanangu Mwali
usiku pale ukilia nini?
Kor: Baba ||:usiniulize:||
niligombana na mume wangu
||:chenga nilizopika
nilizopika wala mahaba sikumwekea:||
Forsang: Nenda nenda wewe na mume wako
Kor: Nenda nenda nenda na mume wangu