Wananchi ulimwengu umekabiliwa
na tatizo la ugonjwa mkuu wa AIDS
Na tatizo hilo limekuwa sumu kali
hata ndani mwa miongoni mwa nchi yetu
Wapimaji nao wachunguzi maabala
wameshindwa kujua hali yake AIDS
Lililopo sasa wananchi jihazali
tusikumbwe na ugonjwa huo wa AIDS
||:Huyo mkoloni huyo huyo:||