Tunafurahia Tanzania kwa wanyama

||:Tunafurahia Tanzania kwa wanyama:||
Tunafurahia sote Tanzania
Na mbuga zetu za wanyama

Serengeti na Manyara
Ngorongoro na Mikumi
Njooni muone
Mbuga za mwisho Itarangilee

Audio / Video

Dansk

Vi er glade i Tanzania for vores dyr og nationalparker. Serengeti og Manyara, Ngorongoro og Mikumi. Og den sidste nationalpark Itarangile. 

Pic.

English

Info

Af Salu Kadelya.